Una maoni Gani na style hii ya ushangiliaji?

Una maoni Gani na style hii ya ushangiliaji?

Dr Simba

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2016
Posts
997
Reaction score
1,242
7f38d8950ef7e9a7de5a61530a6b5e3f.jpg
 
Labda niulize walishangilia wapi....Namaana Bara au Zanzibar?.ili niweze kutoa maoni yangu kwa hii staili.
 
Aiseee [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Sijawahi kuona wanafanya hivo mbele ya nyosso[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo siyo style nzuri ya kushangilia kwani inaweza leta tafsiri mbovu.
 
Ila hii stairi ya yanga ni balaa
Huenda haka kasitairi kakawa ka ushoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Samahan mashabiki wa Yanga
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Baada ya kichapo cha jana nakutambua yakuwa wenye nafasi yao wamerudi naona mnaanza kujifariji kwa kashfa,simba buanaa i mean vyura wa snura buaana kama ccm vile,wanaongozwa kwa matukio
 
Alama 5 zimebaki... Naona mnaweweseka mpaka mnakosa cha kuandika...

Kuweni makini na mjiandae kisaikolojia kabisa....

Narudi nafasi yangu..
 
Uliyeleta uzi huu wewe ni Mtanzania halisi...kujadili mambo yasiyo na maana, kila siku mawazo hasi, kulalamikalalamika, fikra hasi kwa kila jambo na kuacha mambo ya maendeleo
 
Back
Top Bottom