[emoji53] je na hii?
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779] [emoji780]Hiyo timu ni la lumumba fc?
Uliyeleta uzi huu wewe ni Mtanzania halisi...kujadili mambo yasiyo na maana, kila siku mawazo hasi, kulalamikalalamika, fikra hasi kwa kila jambo na kuacha mambo ya maendeleo
hahaa mbona mbowe aliwashibikia bao lao la mkono..hao watoto sio rizkii atiiii....hiyo ndio shida ya kufanya mazoezi migomigoHiyo timu ni la lumumba fc?