Ibrason Member Joined Jul 27, 2020 Posts 8 Reaction score 9 Feb 22, 2022 #1 Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
E Emmanu6 Member Joined Apr 17, 2021 Posts 11 Reaction score 2 Mar 10, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo