unapatikana maeneo gani au ofisi yako iko wapi? Nimeona namba za simu lakini mimi nataka nije physical sina simu how can you help mw zaidi ya kuweka location ya ofisi yako na offers nyingine unazotoa badala ya namba za simu tu
halafu pia hutakiwa kuwa offline manake ndio umeshingia sokoni na natemea wewe utakuwa na kompyuta na iternet fulltime
Tunahitaji utaalamu wako sana mazee