Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 691
Kwani we ni student,mwanjeshi au mwanamichezo (mcheza mpira)Naimba sana kwenye parade
Siyakukothamela Sonini na nini
Ikifika saa 1 kamili asubuhi, huwa ninaimba pamoja na redio clouds then huyo nasepa zangu.Leo nikiwa katika harakati zangu,
Ghafla katokea mtoto mwanafunzi wa shule ya msingi, Nadhan ndio yupo darasa la kwanza.
Wakati wanacheza akaanza kuimba wimbo wa TAIFA.
kanikumbusha mbali nina mingi sijaimba huu wimbo mara ya mwisho kuimba nilikuwa darasa la 6.
Nawe sema ukweli mara ya mwisho ilikuwa lini kuimba wimbo wa TAIFA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakumbuka nyimbo ya taifa nilikuwa naisikia mwisho wa mwezi kwenye hotuba za RaisIkifika saa 1 kamili asubuhi, huwa ninaimba pamoja na redio clouds then huyo nasepa zangu.