Una mshauri nini huyu mwenye hiki chumba?

Una mshauri nini huyu mwenye hiki chumba?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Huyu atakuwa kijana wa chuo, hebu weka neno moja la kumshauri.

0427CE9B-65FA-460C-9E2D-7A316F49D3DE.jpeg
 
Namkumbusha tu kwamba tunafahamu kazi ya hicho kitaulo cha rangi ya pink
 
Ustaarabu huficha umasikini yaani ameshindwa hata kununua basin la plastic kuhifadhia vitu anavyovihitaji.
 
Hapo ukute anaishi na washkaji zake pia. Watu wa hivyo wachafu balaa
 
Back
Top Bottom