Una mshauri nini huyu mwenye hiki chumba?

Namkumbusha tu kwamba tunafahamu kazi ya hicho kitaulo cha rangi ya pink
 
Ustaarabu huficha umasikini yaani ameshindwa hata kununua basin la plastic kuhifadhia vitu anavyovihitaji.
 
Hapo ukute anaishi na washkaji zake pia. Watu wa hivyo wachafu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…