comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
PoapoaNgoja waje usichomoe betri
Nikikutanaga nawewe nakuonaga mzaifu sanaPumbavu kabisa ww
Wewe umeenda mbali zaidiHuku mtaani kuna chizi haimtoki machoni
Kwanini mkuuWe jamaa utakuwa mu-Arusha kama skosei
Aseee kumbewadekaji tu hao hawana lolote
Duh! Inawezekana labdaNgoja tu nikuambie. Mtazamo wako siyo sahihi. Binafsi ninavaa miwani tokea nipo shule ya msingi. Ila sipo dhaifu. Nipo poa na hauwezi kunipiga kofi.
Kumbe... Afazali mimi sikoMimi ndimi.
Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana afya naweza hata nikamkata Kofi akaaga dunia aseee!
Wewe unamtazamo gani??
Wengine eti wakiona mtu kavaa MIWANI ya macho wanamuona kama ana akili sana au msomi.
View attachment 1181198