Mkosoaji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 363
- 41
Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani?
Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa?
Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa kipato?
Patakuwa na semina maalum ya HIGHFLYERS itakayofanyika siku ya Ijumaa 30th May, 2014 ukumbi wa Wellington uliopo Hoteli ya Protea Courtyard, Sea View mjini Dar es Salaam kuanzia saa 11 na nusu jioni na kuendelea.
Semina hii ni maalum kwa waajiriwa wa vipato vya kati na juu, wafanyabiashara na wajasiriamali wenye malengo makubwa.
Kwa booking mapema wasiliana na namba 0658000737
Karibuni!!!