Una ndoto za kumiliki gari?

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
113
Natarajia kuiuza gari yangu aina ya gaia yenye usaji wa cne...
Sababu za kuiuza nimeagiza gari nyingine aina ya noah na inaingia tarehe 29 april 2015 hivyo nitaiuza niliyokuwa natumia mwazo.

Mwenye uhitahi tuwasiliane maake kufika wa tano katikati nitakuwa serious nauza hiyo gari
 
toa na taarifa zifuatazo: Imetembea kilometa ngapi, ina tatizo lolote kiufundi, inakula mafuta kiasi gani, na zaidi usisahau picha.
 
toa na taarifa zifuatazo: Imetembea kilometa ngapi, ina tatizo lolote kiufundi, inakula mafuta kiasi gani, na zaidi usisahau picha.

sawa mkuu nitaweka picha.
but imetembea 120,000km hadi sasa, pia haina tatizo la kiufundi just nimeamua kununua noah so nauza gaia.
kikubwa ninamipango ya kutokaa na gari miaka miwili kila ninapokaa na gari mwaka mmona na nusu nauza hii ni gari ya pili kuuza sasa.
 
Toa namba za simu kaka ili tuwasiliane nahitaji sana hiyo gari
 
Gaia ni gari zuri,....i like the car
 
Unalenga wateja wenye ndoto ya kumiliki gari tu? au hata na makundi mengine?.....just joking...
 
Unauza bei gani mkuu

nataka nitatangaza rasmi baadae kidogo japo mtu anaruhusiwa kuiona garai na pengine kutoa offer yake kwanza....ili nishawishike maake bado niko nusunusu kuiuza ama kuendelea kuitumia.
 
nataka nitatangaza rasmi baadae kidogo japo mtu anaruhusiwa kuiona garai na pengine kutoa offer yake kwanza....ili nishawishike maake bado niko nusunusu kuiuza ama kuendelea kuitumia.

Mkuu nataka kuiona hiyo gari vp ynapatikana wapi au utakuja batp hapa sinza niione?
 
Nitakutafuta mkuu haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…