Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
........... (Salamu)
Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo)
Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza kwa sababu mimi ndo nipo hapa hapa ofisin naisimamia, kwa hio nikifungua branch inabidi niweke mtu hapa ili mimi niwe mtu wa managerial level + kuzunguka branch hii na hio nyingine, (kwa jinsi nilivyowaza)
Sasa nakuja kwenu wenye uzoefu na elimu za biashara, mbinu gani nzuri ya kumonitor branch za biashara yako,
Kuna watu wana branch had 5 za biashara zao, najiuliza how do they monitor them?
Karibuni wote kwa ushauri