PM meKama unawazo lolote linalo husu viwanda vidogovidogo tadhali nipe maana napenda sana viwanda lakini sioni pakuanzia 0756805540
unataka kuuza bidhaa za aina gani?Jinsi gani naweza kufanya marketing bussiness, physically or online nikapata faida ya mda mfupi na mda mrefu.
nafikiria kuuza huduma ya marketing, ana kwa ana au online, ndiyo maana ninauliza ninawezaje kupata wateja na kunufaika nayo kwa muda mfupi(ndani ya mwaka mmoja) au muda mrefu(zaidi ya mwaka)unataka kuuza bidhaa za aina gani?
Mimi nataka mazao ya kilimo e.g mchele,mahindi na jamii ya kunde.unataka kuuza bidhaa za aina gani?