brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Hamna bhana huo ni mchezo kama michezo mingine ndio maana baada ya pambano kuisha wapambanaji huwa wanakumbatiana kwa furaha kabisaHuu siyo mchezo, huu ni ugomvi. Mchezo gani mnatoana ngeu kusudi.
Kuna aina ngapi za uzito kwenye ngumi!?Je unaswali lolote kuhusu mchezo wa masumbwi/boxing uliza hapa nami nitarijibu
View attachment 403922
zipo aina 17 za weight nazo niKuna aina ngapi za uzito kwenye ngumi!?
Anapigana tarehe 26 november mwaka huu ila bado sijajua atapangiwa na nani ngoja nifatilie alafu nitareta mrejeshoAnthony Joshua anapigana lini na nani?