kuna shule ya english medium nursery and primary maeneo ya njia panda segerea wana utaratibu mzuri kwa wenye kipato kidogo. katika kulipa ada unaweza kukubaliana ulipe kwa awamu ngapi kulingana na kipato chako. ni shule pia imeshika nafasi za mwanyo dsm. kama upo interested piga simu no 0719604156
Teacher
Kumbuka:-
Kuanza sentensi na herufi kubwa ..
Kuanza na herufi kubwa baada ya kituo/nukta ..
Kutumia herufi kubwa unapoandika jina la eneo .. (Segerea na si segerea)
Kuhakiki maadishi kabla ya ku-post
Ni hayo tu .. Nitakuja kuiangalia mwenye maana hiyo ndiyo njia ya kuelekea kwenye makazi yangu ..

Kaka[SIZE=4 said:J[/SIZE]ambazi;1524416]Yaani kama na wewe ni mwalimu apo,,sioni haja ya kumleta mwanangu,,make hata jina lako limeanza kwa herufi ndongo.
kwani yeye naye ni mwalimu wa hiyo shule?Toa boriti kwanza jichoni!