Kwa wale wadogo zangu ambao hawajajaza fomu za mikopo either saver inawasumbua au hawawewezi unaweza kupata msaada wa moja kwa moja kutoka kwangu. nakujazia then nakutumia fomu zako kwe e-mail unaenda kuzi print.sio utapeli ni kusaidiana . JF ni kila kitu. so if you wish just PM me then i will send you my e-mail.all the best guys.