Una tembo card master card???????

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
428
jamani hili tangazo mi silipendi sana hasa kipindi hiki ambacho nataka wakwe wakanitambue! jamaa kajitahidi ana vx, nyumba kali, kazi ndefu na demu wake atakuwa mkali vilevile ila tatizo hana tembo card master card!nikiskia huwa nachoka sana hivi mambo ndo yalivo huko ukweni? wazoefu tujuze
 


Girlfriends are medicines they come with an expiry date!
 
Kama linakubabaisha usioe ili kuwakomoa hao wakwe... Be a bachelor forever.
 

Nasoma katikati ya misitari
 
Hilo ni tangazo la biashara halina uhusiano na hayo unayokwenda kufanya na hao wakwe zako. Kwa ujumla unachoweza kuulizwa na wakwe zako ambacho hata mchumba wako anapaswa kukuuliza ni. Jee wewe background yako ni ipi, wazazi wako wanatokea sehemu gani, unafanya shughuli gani? ili wawe na uhakika mtoto wao ataishi na mtu wa namna gani.
 
Kwani wewe umejiandaandaaje?
 
mmmh,aisee mbna mim nna k2 cha nmb benk ya wakulima? Mmh mbombo ngaf
 
chukua majib, nyumba ipo gongo la mboto,nafanya kazi stendi ya mkoa,gari nnayo lakini inakula vichwa mpiji, hapo watakukubali, kuhusu kadi waambie unayo ya gari!
 
Tembo card usijaribu kununuwa kitu Amazon... khabar yake utaipata..! i prefer visa gift card.. nanunuwa ya kiasi flani.. baada ya matumizi naisahau..
 
Mi ninayo, nikuazimishe au niende badala yako???? just kidding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…