LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Apr 8, 2011 #21 Haya ni mafumbo au ni nahau. Sijaelewa, nani anajitolea kunielewesha?
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 806 Apr 8, 2011 #22 ndio tatizo kuoa wachaga teh! Hovyo sana!
Matango JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 535 Reaction score 118 Apr 9, 2011 #23 14'10-bk said: chukua majib, nyumba ipo gongo la mboto,nafanya kazi stendi ya mkoa,gari nnayo lakini inakula vichwa mpiji, hapo watakukubali, kuhusu kadi waambie unayo ya gari! Click to expand... MWENYE MAPENZI YA KWELI HAONI, INGAWA MACHO ANAYO ! usihofu, HURIDHIKA KUWA NACHO JAPO HAKINA THAMANI !~!!
14'10-bk said: chukua majib, nyumba ipo gongo la mboto,nafanya kazi stendi ya mkoa,gari nnayo lakini inakula vichwa mpiji, hapo watakukubali, kuhusu kadi waambie unayo ya gari! Click to expand... MWENYE MAPENZI YA KWELI HAONI, INGAWA MACHO ANAYO ! usihofu, HURIDHIKA KUWA NACHO JAPO HAKINA THAMANI !~!!