Una Tsh 200M Utanunua Apartment au utaenda kufanya ujenzi wako mwanzo mwisho?

Kama iko sehemu nzuri, bora kununua. Maana vifaa vya ujenzi kwa sasa ni changamoto. Bei yake ya kununulia imepanda sana.
 
mkuu kajenge tu.....alafu unakuwa wa kwanza kutumia kile kitu na kwa kuwa una mzigo wa kutosha unaplan kila kitu itasaidia kufanya budget yako isipinde pinde utaenda strait until deal done.
 
anza ujenzi wako mtafute fundi maiko utaokoa karibu 100 nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…