Una uchi?

Besta Mlagila

Senior Member
Joined
May 29, 2018
Posts
101
Reaction score
191
Jamaa mmoja aligonga hodi na mwanamke kafungua.
Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?”
Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira. Jamaa likaondoka.
Siku ya pili jamaa likarudi tena. "Hodi?"

Karibu.
Likauliza tena, “una uchi?”
Mwanamke kwa hasira tena akafyonza na kubamiza mlango, jamaa likaondoka. Mwanamke uvumilivu ukamshinda, alipokuja mume wake akamueleza,
“Baby, kuna jitu moja limekuja hapa mara mbili, na kuniuliza swali la ajabu.
"Swali gani honey?" Aliuliza husband kwa sauti ya upole na upendo.
Baby akajibu, huwa linaniuliza kama nina uchi!
Huwa sipendi honey.

Husband akasema, sasa mke wangu, ngoja tufanye kitu kimoja. Kesho ni mapumziko,
sitakwenda kazini. Sasa akija tena mie ntabana nyuma ya mlango na
akikuuliza tena, mwambie unao ili tuone anataka aufanyie nini, halafu tumshughulikie.

Basi jamaa likaja kweli siku ya tatu.
Hodi hapa! Karibu. Una uchi? Ndiyo ninao,
mwanamke akajibu wakati huo husband yuko nyuma ya mlango.
Jamaa likasema, “ sasa nakwambia hivi,
mwambie mumeo atumie huo na aachane na mke
wangu”. Akiendelea atajua kitakachompata!!
Mpaka Leo jamaa yupo nyuma ya mlango.
 
Jamaa Ana huruma sana kumuonya angakuwa kashatatuliwa marinda kitambo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna yule mwingine alikuwa anamwagalia bustani, Mke wake akamwambia amalize kumwagilia bustani waje waongee..


Jamaa mpaka leo anamwagilia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…