Una ujuzi wa kutengeneza mbegu hizi?

Una ujuzi wa kutengeneza mbegu hizi?

gilbert35

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
253
Reaction score
475
Wadau habari zenu?

Naomba kama kuna mtu anafahamu namna ya kutengeneza hizi mbegu mnazoziona katika picha anifundishe.

Hapo kuna Mbegu za Maboga, Mbegu za Ngano isiyokobolewa, na Zabibu kavu.

Kiufupi hizi naonaga watu wanauza kwenye pakage nanunua nakula, lakini sijui zinapikwaje

IMG_20220121_224209_932.jpg
 
Back
Top Bottom