Una ushauri gani kwa vijana (kike/kiume) wanaobalehe na kuvunja ungo mwaka huu?

Una ushauri gani kwa vijana (kike/kiume) wanaobalehe na kuvunja ungo mwaka huu?

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Habari!

Kama unamjali kijana mpe ushauri wako hapa kabla hajaanza kutumika.

Vijana wengi wanapotea kwa kukosa ushauri nasaha. Naomba uzi huu utumike kuwapa ushauri vijana wetu ambao wanaingia ujana.

Vijana wanaanza na moto wa kutaka kujaribu kila kitu katika maisha haya. Hali ambayo ni tata katika dunia ya leo.

Karibuni.
 
Haya matoto ya elfu mbili ni majuaji sana hakuna cha kuwashauri.

Acha wadange, wafanye starehe zote.

Ila wakumbuke kwamba Maisha ni Rula. Hata ujifanye umepinda kiasi gani yatakuja kukunyoosha sawasawa.
 
The youth have exalted notions, because they have not been humbled by life or learned its necessary limitations; moreover, their hopeful disposition makes them think themselves equal to great things and that means having exalted notions.

They would always rather do noble deeds than useful ones: Their lives are regulated more by moral feeling than by reasoning, all their mistakes are in the direction of doing things excessively and vehemently.

They overdo everything, they love too much, hate too much, and the same with everything else.

(Aristotle)
 
Back
Top Bottom