Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziba tu mianya ya wao kukufuatiliaUna washauri nini wanaofutilia maisha yako?
kweli hii ndio njia sahihiZiba tu mianya ya wao kukufuatilia
Waendelee kufuatilia kwa tahadhari.Wanaweza kuambulia faida.Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?
😘😘😘Nawashauri waendelee tu kunifatilia,maana hawawezi kuishi bila Mimi.
ngongingoWaniambie idadi yao niwapikie pilau pasaka
Sawa. Maji Kama Jaba ngapi hivi??Wabebe vyakula na maji ya kutosha maana sasa ninaingia jangwani wasije wakafa kwa kiu na njaa wakati wananifuatilia
[emoji23][emoji23][emoji23]Jaba kama 5 hivi wasije kufa na kiu bure
Waje waniambie wanachokiona huko, maana mimi mwenyewe, mmilikiwa hayo maisha sioni kituUna washauri nini wanaofutilia maisha yako?