Una wazimu?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Mariam mamaye Yesu
Alikuwa bikra aliolewa na
Fundi seremala
Lakini wewe hata sio
Bikra unataka uolewe na
Billionea
Unawazimu?
 
Umenifanya nianze kusali Litania ya mama kipenzi:
Mama asiye na doa
Mama mstaajabivu.
Kioo cha Haki
Malkia wa Mababu
Mnara wa Pembe
Mnara wa Daudi
Malkia wa Amani.

Ana sifa 49
 
Anawazimu sio kidogo......Bwahah hahahaa hahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…