Nilikuwa namjibu mchangiaji namba 2,nikasahau kum quote.Kwanini Dar mbona sijataja mkoa mzee.
Usiangalie upande mmoja mkuu, aina ya kuku anaotaka kufuga mleta mada ni kuku wa nyama ambao Dar soko lake ni kubwa kuliko mkoa wowote Tanzania.Ufugaji kwa upande wa Dar nahisi kama gharama za uendeshaji zitakuwa kubwa.
Nakuja tuyajengeSikumoja nitaanza ufugaji ila nahitaji EXPERIENCE ya ufugaji na mambo yote yanayohusu ufugaji kibiashara usimamaizi, masoko nk.
Kwa aliye na wazo la kuanza ufugaji wa kuku (broiler)tushitikiane tujuhike wote kutoka mwanzo wa mradi mpaka kuonesha matumaini tutahusika wote kuhakikisha mradi unakua na kutafuta masoko pamoja. Yule asiye na muda anataka kuanzisha mradi wa ufugaji nitahusika kwenye usimamizi.
Aim yangu kutumia uwezo wangu kufanikisha mradi kutengeneza faida ila simaanishi nitafanya bure tutakubaliana maana baada ya kupata Experience nitahitaji kwenda kuanzisha mradi wangu.
Sorry sana mkuuSikumoja nitaanza ufugaji ila nahitaji EXPERIENCE ya ufugaji na mambo yote yanayohusu ufugaji kibiashara usimamaizi, masoko nk.
Kwa aliye na wazo la kuanza ufugaji wa kuku (broiler)tushitikiane tujuhike wote kutoka mwanzo wa mradi mpaka kuonesha matumaini tutahusika wote kuhakikisha mradi unakua na kutafuta masoko pamoja. Yule asiye na muda anataka kuanzisha mradi wa ufugaji nitahusika kwenye usimamizi.
Aim yangu kutumia uwezo wangu kufanikisha mradi kutengeneza faida ila simaanishi nitafanya bure tutakubaliana maana baada ya kupata Experience nitahitaji kwenda kuanzisha mradi wangu.
Hatuendi hivi Mkuu majadiliano ya mada moja hayapelekwi mada nyengine hii inafanya kutengeeneza uhasama na uadui badala ya urafiki, mada moja tunaweza kuwa upande mmoja mada nyengine tukakosana uwo ndio ukomavu.Sorry sana mkuu
Hapa nimeelewa kwanini unamtetea sana mr kuku sikuona uzi wako huu kumbe naww ulikuwa kwenye njia hiihii ya kuanzisha mradi kama wake
Kabla ya kuanza kuchukua hela kwa watu kachukue kibali BOT kabla haijakukalia koon
Mkuu nakushauri fuata utaratibu tuHatuendi hivi Mkuu majadiliano ya mada moja hayapelekwi mada nyengine hii inafanya kutengeeneza uhasama na uadui badala ya urafiki, mada moja tunaweza kuwa upande mmoja mada nyengine tukakosana uwo ndio ukomavu.
Period, sijawai mtete Mrkuku na wala sijawai kuwa upande wowote mimi ni Open mind anaye hoji kulipo na mapungufu kutaka detils yakinifu...kuhoji imekuwa dhambi JF mbona tunatengeneza kizazi cha kondoo.
Unamaana endapo nikifuata ulivyo orodhesha nikkfanya kama Mrkuku nitakuwa sio tapeli ??Mkuu nakushauri fuata utaratibu tu
Nenda BOT chukua kibali
Tafta leseni ya biashara n ufugaji
Tafta hao watu mfanye kazi legal
Biashara ni nzuri ila fuata utaratibu tu