Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana idea nzuri lakini hawana mtaji.
hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa wiki
kama tatu zilizopita nilianzisha uzi hapa
wenye kichwa cha habari "ukipata millioni
10 utafanya biashara gani? ???"
lakini mpaka leo sijapata idea nzuri
Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale
wenye idea za biashara lakini
kinachowakwamisha ni mtaji.
Kama wewe unaamini una wazo zuri la
biashara na huna mtaji,basi mimi nataka
kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji
wa kuanzia milioni 2 mpaka million 10
kama nitashawishika na wazo lako.
Ninachotaka ni hivi,nataka faida
itakayopatikana kwa biashara itokanayo
na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.
KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka
tushirikiane ili sote tupate faida.
Sanasana nataka mawazo mazuri tena
ufikirie "nje ya box" sio hizi biashara
ambazo kila mtu anafikiria
HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu
kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute
mbinu za UHAKIKA za kunifanya
nikuamini.
Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze
kuliamini wazo lako la biashara kabla
sijawekeza pesa zangu.
Are you interested?
Please PM me.
Thank you and God bless you all.
............
Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana idea nzuri lakini hawana mtaji.
hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa wiki
kama tatu zilizopita nilianzisha uzi hapa
wenye kichwa cha habari "ukipata millioni
10 utafanya biashara gani? ???"
lakini mpaka leo sijapata idea nzuri
Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale
wenye idea za biashara lakini
kinachowakwamisha ni mtaji.
Kama wewe unaamini una wazo zuri la
biashara na huna mtaji,basi mimi nataka
kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji
wa kuanzia milioni 2 mpaka million 10
kama nitashawishika na wazo lako.
Ninachotaka ni hivi,nataka faida
itakayopatikana kwa biashara itokanayo
na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.
KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka
tushirikiane ili sote tupate faida.
Sanasana nataka mawazo mazuri tena
ufikirie "nje ya box" sio hizi biashara
ambazo kila mtu anafikiria
HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu
kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute
mbinu za UHAKIKA za kunifanya
nikuamini.
Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze
kuliamini wazo lako la biashara kabla
sijawekeza pesa zangu.
Are you interested?
Please PM me.
Thank you and God bless you all.
............