Kweli kabisa , mi npo single kias kwamba wateja wangu wengi ni wanawake na wanafeel free Sana kupata huduma kwangu ,jokes nying na vichekesho kwa Sana na wanaenjoy kwel Ila nimegundua wakisikia na mwanamke kimahusiano huwa wanapotea kabisa , issue hii inaniumiza kias cha kuchelewa hata kuoa , somtyme nawaza kubadilisha harakat.....
Nina uhakika mond akioa atalooose fan Weng wa kike ambao ndo most important kwenye mtonyo, moja ya watu wanaofaidika na lifestyle ya Mond ni Rayvann ,
Note: Issue yangu haihusiani na maswala ya uzinzi au uasherati , only female as fanbase