Shilandula
Member
- Nov 30, 2019
- 6
- 6
Umeandika mwenyewe au umeandikiwa?,so unataka kusema Domo hana wanawake?,Tanasha ni dada yake?,uwe unafikiria hata kidogo basi kabla ya kuja huku,unashusha hadhi ya jf broFahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
Hii ni kwa watu maarufu wote. Wengi hupoteza mashabiki wa kike mara tu wanapoamua kuweka wazi mahusiano yao ya kimapenzi.Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
Reyvanny mbona hajapoteza mashabiki?Kweli kabisa , mi npo single kias kwamba wateja wangu wengi ni wanawake na wanafeel free Sana kupata huduma kwangu ,jokes nying na vichekesho kwa Sana na wanaenjoy kwel Ila nimegundua wakisikia na mwanamke kimahusiano huwa wanapotea kabisa , issue hii inaniumiza kias cha kuchelewa hata kuoa , somtyme nawaza kubadilisha harakat.....
Nina uhakika mond akioa atalooose fan Weng wa kike ambao ndo most important kwenye mtonyo, moja ya watu wanaofaidika na lifestyle ya Mond ni Rayvann ,
Note: Issue yangu haihusiani na maswala ya uzinzi au uasherati , only female as fanbase
ata kuwa ni mpumbavu kama anaogopa kupoteza mashabiki 10 kina maboto yule wa miaka 21 na ambalutiFahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo