Unaambiwa hiyo Argentina vs Spain itakuwa Israel vs Palestine

Wazee wa kujipndekeza, kama ni watu wa Mungu mbona timu yao hata kushiriki imeshindwa? UEFA kule macan haifa inaishia ni ya kupigwa mechi zote.
 
Hii final iko complicated sana,
Lamine akishinda ni kitu kizuri sana kwa carier yake
Messi akashinda itamuongezea record ya kuchukua back to back Copa america na World cup

Kwa mimi natamani messi achukue,.lamine bado umri unaruhusu kuja kuchukua miaka ya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…