Unaambiwa Kramo anaumwa lakini ugonjwa haujulikani

Unaambiwa Kramo anaumwa lakini ugonjwa haujulikani

Winga mpya wa Simba anaumwa lakini cha kusikitisha haijulikani anaumwa nini. Tuendelee kumuombea Aubrin
Ukweli ni kwamba Aubin Kramo Kwame hajawa fit, akiwa fit ataonekana kikosini. Nyingine ni porojo za Facebook🤣🤣 . Hatujamuona pia Konkon japo hatujaona story za kurogwa hatujaziona kwa kuwa upande wa pili hamna ufala wa ki zero brain
 
HII NDIO FAIDA YA KUSAJILI MAWINGA WENGI HADI WANAROGANA

UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????

Mawinga. 2023
1. ( Peter Banda. )
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.
10. Moses phili

.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI
 
Suala la fitness za wachezaji na hisia za za uchawi na kulogana lina-akisi ufinyu wa akili ( IQ) za baadhi ya watu ktk kuwaza sababu ya jambo...
Ukiona mtu yoyote anarukia ktk wazo hilo .. manake amefikia limit ya kufikiri...

Kama unaweza kufikiri uchawi unaweza kushusha kiwango cha mchezaji, ..basi uchawi ungeweza pia kuwafanya wa tz wengi wacheze EPL, LA LIGA, SERIE - A etc ..

Ni mawazo ya watu waliofika mwisho...
 
Mtafute Said Bahanuzi akusimulie vizuri. Kama hutomwamini huyo basi mtafute Nadir Haroub 'Cannavaro' akwambie alimshauri Bahanuzi afanye nini kujilinda dhidi ya njama alizokuwa ameanza kufanyiwa na wachezaji, na baada ya kupuuza nini kilimpata.
 
Back
Top Bottom