Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wameshaloga? Akamuulize Kapombe kilichomfanya hadi abadili dini nini?Winga mpya wa Simba anaumwa lakini cha kusikitisha haijulikani anaumwa nini. Tuendelee kumuombea Aubrin Kramo
Uyo jamaa alikuwa hawajui wabongo. Mungu amsaidie.Simba nao wanayataka, mnasajiri mawinga kama ugomvi.. kiungo,beki za pembeni zote zinahitaji wasaidizi wenye kuwapa shindani wa namba.
Kapombe si muislamu ?wameshaloga? akamuulize kapombe kilichomfanya hadi abadili dini nini?
Anaitwa baba esta.kapombe si muislamu ?
aisee taqbiiiranaitwa baba esta.
shindwa shetani tena kwa JIna la Yesu.aisee taqbiiir
taqbiirshindwa shetani tena kwa JIna la Yesu.
dawa yako ni Jina la Yesu tutaqbiir
Ukweli ni kwamba Aubin Kramo Kwame hajawa fit, akiwa fit ataonekana kikosini. Nyingine ni porojo za Facebook🤣🤣 . Hatujamuona pia Konkon japo hatujaona story za kurogwa hatujaziona kwa kuwa upande wa pili hamna ufala wa ki zero brainWinga mpya wa Simba anaumwa lakini cha kusikitisha haijulikani anaumwa nini. Tuendelee kumuombea Aubrin
kapombe si muislamu ?
Mlokole yulekapombe si muislamu ?
Halafu kuna wapuuzi watakwambia mambo hayo hayapo, hasa kwenye soka.mambo haya yapo sana. Timu ichunguze wachawi wote wafukuzwe. Hii sio sawa. Ni hasara kwa timu
Misumari ya Matombo hiyoWinga mpya wa Simba anaumwa lakini cha kusikitisha haijulikani anaumwa nini. Tuendelee kumuombea Aubrin Kramo
Mtafute Said Bahanuzi akusimulie vizuri. Kama hutomwamini huyo basi mtafute Nadir Haroub 'Cannavaro' akwambie alimshauri Bahanuzi afanye nini kujilinda dhidi ya njama alizokuwa ameanza kufanyiwa na wachezaji, na baada ya kupuuza nini kilimpata.Suala la fitness za wachezaji na hisia za za uchawi na kulogana lina-akisi ufinyu wa akili ( IQ) za baadhi ya watu ktk kuwaza sababu ya jambo...
Ukiona mtu yoyote anarukia ktk wazo hilo .. manake amefikia limit ya kufikiri...
Kama unaweza kufikiri uchawi unaweza kushusha kiwango cha mchezaji, ..basi uchawi ungeweza pia kuwafanya wa tz wengi wacheze EPL, LA LIGA, SERIE - A etc ..
Ni mawazo ya watu waliofika mwisho...