Unaambiwa Kramo anaumwa lakini ugonjwa haujulikani

Hiyo timu inasifika sana kwa wachezaji wake kupigana misumari.
 
Ukitazama baadhi ya sura za wachezaji wa Simba hili halitakushangaza wala!Mfano Boko na kiungo punda sura zao zinatofauti gani na professor maji marefu..sura zimekaa muda wote kama zinafukizwa na moshi.
[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…