Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Akome...Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye...
Aondoke Sasa Uingereza...Huwezi kutawala Ligi Kuu ya Uingereza miaka minne (4) mfululizo pasipo wachezaji kuchoka (Fatigue) na wapinzani kukujulia mbinu zako
Lilikuwa ni suala la muda tu
Huna akili ubaguzi auchezi mpiraDhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Lilikuwa swala la muda tu. Yani bila huyu jamaa Raheem Sterling angetunukiwa Balloon dor.
HakikaAondoke Sasa Uingereza...
Huyo anahitaji timu yenye uwezo wa kutumia pesa apate anachotaka Ili awape mafanikio.Hakika
Sasa ni wakati wa kwenda Ligi Kuu ya Ufaransa ama Italy ambapo bado hajapita
Kwa maana jamaa limepita Spain, Germany na Sasa England na kote limechukua makombe 🙌
Mimi pia nafikiri hivyo, PSG patamfaa sana maana jamaa Wana hela za mafuta waleHuyo anahitaji timu yenye uwezo wa kutumia pesa apate anachotaka Ili awape mafanikio.
Labda aende PSG..
Alionyesha vidole Sita. Sio vinne.Juzi alipanic mpka kuwaonyeshea vidole vinne mashabiki wa liver! Means amechukua kombe la EPL mara nne.
Hapana subiri mwezi wa kwanza hapo waingie sokoni,Lilikuwa ni suala la muda tu
Kwahiyo umeamua kututisha sisi Washika bunduki wa London eeh?Hapana subiri mwezi wa kwanza hapo waingie sokoni,
wamwage pesa kitakachofata Kila timu inaelewa ni kipigo tu mpaka game ya mwisho.
Hahahaa mwana Arsenal unakumbuka kilichotokea msimu uliopita Inatakiwa timu itakayokuwa kileleni kufikia mwezi wa tatu iwe imeizidi Man City si chini ya point 18 kwa kuanzia zaidi ya hapo ubingwa utarudi mikononi mwa kipara..... Jurgen Klopp na Mikael Arteta wanaelewa vizuri hiliKwahiyo umeamua kututisha sisi Washika bunduki wa London eeh?
Hata hivyo akisubiri January, mbona atakuta mwana si wake
njia ya kuchukua ubigwa ni nyembamba sana.Hapana subiri mwezi wa kwanza hapo waingie sokoni,
wamwage pesa kitakachofata Kila timu inaelewa ni kipigo tu mpaka game ya mwisho.
Ilikuwa vidole sita kama ishara ya ukumbusho wa idadi ya mataji ya Ligi Kuu ambayo ameshinda, Siyo vidole VinneJuzi alipanic mpka kuwaonyeshea vidole vinne mashabiki wa liver! Means amechukua kombe la EPL mara nne.