Unaambiwa; "sikukusaliti, wala sikumpenda, bali nilizidiwa......"




Kawaida wanaume wetu hawa wa kiafrika hakwambii, mimi na huby hatuna uzungu to that extent eti kwamba akili alilala na mwanamke mwingine... Dhubutu! hivyo siku akikili najua sasa kanichoka anatafuta sababu ya kuniacha na mimi ndo niwe mwanzilishi, hivyo nitamwambia kwa mapenzi yote "usijali dear kitu kikubwa honey did you use dawa ya penzi?"; maana am not ready to lose him, he is worth it.
 
mhhhhhh! ungevunja uhusiano ,maana kma mwanaume ndio unamwambia hivyo yeye angekasirika tu,hata kma yeye ndio wakwanza kukuambia kuwa katoka out

sasa anamkasirikia nani??
na kwa nini akasirike??
maana wote tupepata "HAKI SAWA"
hahahah lol jmosi njema
 
Toka nimejua hiyo theory aisee nimekuwa mtu wa amani na msamaha sana tu. I always believe I am his number one. Huko kwingine anaenda kutimiza haja zake tu. Sasa sijuhi najipa moyo?

 
Toka nimejua hiyo theory aisee nimekuwa mtu wa amani na msamaha sana tu. I always believe I am his number one. Huko kwingine anaenda kutimiza haja zake tu. Sasa sijuhi najipa moyo?



Nimeipenda NK ... hivi vitu sometimes vyahitaji busara, panicking si mahala pake (itabidi nimtafute sweet dada kuhusu hio nukuu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…