UNAAMBIWA: Wanaume wenye ndevu hunufaika kiafya kuliko wasionazo

je mbona wamasai hawana ndevu kwahiyo watakuwa na hao vimerea
 
Tafiti za ulaya hizi
Na mwezi uliopita utafiti mwingine ulikuwa wa toilet paper
Unasema kumbe walikuwa wanakosea miaka yote kuchamba
Wameona maradhi mengi yanatokana na hizo karatasi (Toilet paper)
 
tuambizane mkuu kuna madhara gn??
 
tuambizane mkuu kuna madhara gn??
Kwa tafiti hizo (sio mimi) zinasema kuwa unapotumia toilet paper ni kuwa unaacha uchafu na hisafishi vizuri tofauti na maji.
Kwa hiyo bacteria wabaya huzaliana na kuleta magonjwa kama UTI
Na utafiti umeenda mbali kwa kina wanawake kwani wanapojifuta hupaka kinyesi mpaka mbele na kuleta matatizo mengi kiafya.

10d4d6b95675aafb9d68c0daa9ee8061.jpg
 
wafuga ndevu wengi wanafanana na madereva wa treka (sijui na mimi huwa naonekana ivo)

huwa naachia mzuzu sana ila nikienda nyumbani (kwa bi. mkubwa ) naukata maana bado mkoloni hataki mtu kuwa na mzuzu kwenye nyumba yake.
 
Kwa tafiti hizo (sio mimi) zinasema kuwa unapotumia toilet paper ni kuwa unaacha uchafu na hisafishi vizuri tofauti na maji.
Kwa hiyo bacteria wabaya huzaliana na kuleta magonjwa kama UTI
Na utafiti umeenda mbali kwa kina wanawake kwani wanapojifuta hupaka kinyesi mpaka mbele na kuleta matatizo mengi kiafya.

10d4d6b95675aafb9d68c0daa9ee8061.jpg
mbona mkuu nasikia kwamba maji nayo yana madhara???
 
Back
Top Bottom