Unaamini huyo ni babayako mzazi.!?

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Habari wa ndugu.
Wakati nipo sehemu Fulani hapa jijini.
Nikakuta jamaa wakibishana vikali kuhusu mzazi wa kiume (Baba).
Mjadala ulianza pala mmoja wao aliposema kuwa amemgegeda Dada yake waliechangia Baba.
Anasema Dada yake huyo alikuwa na tabia ya kumtege kila siku.

Jamaa walipo muuliza kuwa huyo ni damu moja nawe. Akasema kuwa sina uhakika kwasababu inaweza kuwa babangu alisingiziwa tu na hata Mimi mwenyewe sina hakika kuwa huyu ni babaangu.

Sababu kubwa anasema kuwa wanawake wengi siku hizi hawaaminiki.
Anasema mzazi mwenyewe uhakika naye ni mama yake tu.

Jibu hilo likazua mjadala mzito, wengine wakiuunga mkono na wengine wakipinga.

Sasa naomba niwaulize wana JF je wewe unauhakika ama unaamini huyo ni babayako halisi??

Tukianzia kwangu Mimi naamini huyu ni baba yangu kabisa kwasababu hata sura tu tunafanana mtu ukituona tu wala huulizi Mara mbili.

Nawasilisha.
 
Ukimchunguza sana bata hutamla.

Awe ni baba mzazi au sio cha msingi alinisomesha akanilea bila ubaguzi,manyanyaso,masimango kwangu namwamini sana.

Unaweza kuta mama anaekulea sio mama ako mzazi ila alikuchukua mdogo sana na ukanyonya ziwa lake. Be careful kufukua visivyofukulika utaumia mwenyewe.
 
Kuna kaukweli hapa.
 
Hata kama siye biological father wangu, kwa mapenzi na malezi aliyonipa ninampenda 100%
Tatizo sio kumpenda,
Unauhakika kama ni baba halisi?? Hapo tu.
 
ukweli mtupu
 
Tatizo sio kumpenda,
Unauhakika kama ni baba halisi?? Hapo tu.
I see I do look like him and I thank him for the beauty of my skin, this has to do with his genes.
 
Hilo swali atajiuliza baba yangu mimi mwenyewe nipo kwenye circle hiyo hiyo nikianza kujiuliza hayo wanangu ninani atakaejiuliza juu yao?alimradi naishi nina wasiwasi gani!
 
Me ninauhakika ni Baba yangu sababu nimefanana nae kila kitu.Yaan copyright
Picha tafadhali kuthibitisha haya msemayo
 
100% naamini ni Baba angu mzazi, kwa malezi mazuri ,upendo , na vyootee achilia mbali mfanano. nakupenda Baba angu
 
isee mm ni kopi ya mshua kabisa wanavodai ndugu zake nilimcopy kila kitu
r i p baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…