Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mfuasi sana wa mziki ila kwa level ya diamond platnumz uwanja wa Mkapa anajazaUnaamini kuna msanii wa BongoFleva anaeweza kuujaza uwanja wa Mkapa akisimama peke yake ONE MAN SHOW?
Ni msanii wa bongofleva?Mtumishi wa Mungu, nabii, Mchunga kondoo mteule, Apostle Boniface Mwamposa anaweza kabisa kwa level zake ata viwanja vitatu anaweza.
Kumbe Mwamposa ni msanii!!Mwamposa anaweza
Ni msanii wa bongo movie lkn sio msanii wa bongo flevaKumbe Mwamposa ni msanii!!
NdyMwamposa anaweza
Kummanya Mwamposa!!Ni msanii wa bongo movie lkn sio msanii wa bongo fleva

Kuna sheikh Sule pia,yaaahee aweza yuleee jazaa Lupasooo🤣🤣🤣jokes msije nisomea kurjuanii🤣Mwamposa anaweza