Unaangalia vigezo gani unapoamua kuchagua mpenz

lizzy nimekujibu swali lako..
jje wewe vipi?
una wowowo la kutosha?????
Wowowo..mguu wa bia..macho ya kurembua..lips full kama kiroba cha mchele..kiuno cha haja..kifua cha kutosha..shingo kama ya mbuni!Ehh nini kingine unataka?
 
umetishaaa
 
Mimi wa kwangu nilimpenda sababu ya RUGBY na yeye anajua:lol::lol: ( Ngoja aone hii comment :fear::fear🙂
 
Mh kwa mtazamo huu bado niko kwenye chati lol! mie naangalia urefu, personality, mguu size yake , bashasha zake, mcheshi , uhandsome ni wa mwisho akiwa nao poa,asiwe nao sawa tu
 
Mh kwa mtazamo huu bado niko kwenye chati lol! mie naangalia urefu, personality, mguu size yake , bashasha zake, mcheshi , uhandsome ni wa mwisho akiwa nao poa,asiwe nao sawa tu
hapo peusi best,
FAFANUA
 
duh mi naangalia sana usafi, demu bwana awe msafi mi hapo ameniua kabisa, rangi iwe ya andazi, afu kiuno kiwe kama cha nyigu, urefu wastani asiwe kama twiga maana nitapta shida shingo yangu itauma. Na mwisho awe na sauti nyororo sio demu anakuwa na sauti kama subwoufer. Ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…