Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya:
"Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye.
"Sasa ameondoka. Lakini msidhani hawezi kutokea mwingine, tena mbaya kuliko mtangulizi wake maana huyu atakuwa amejifunza kwamba hata akifanya mabaya hayo si huko nyuma mlishaufyata?
"Na hamtochelewa kusikia kelele za 'aongezewe muda, nani kama yeye' kama ilivyokuwa Kwa Bwana yulee". Mwisho wa nukuu.
Ni kweli, tumeanza kuona na kusikia mama anaupiga mwingi.