Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone.
Alama zinaonyesha uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 na uwenda tukawa tuki sikiliza sana maneno yake watu wenye kuona kesho.
 
Sasa unabii gani una ongelea hapa
 
🤣🤣🤣 ivi unajua siasa mpango ndyo mara ya kwanza kuwa mbunge na uzee wote na yy syo mwanasiasa enz ya jiwe akikubali anakuambia ugombee sasa bs mpaka ifikapo 2026 tutajua maji na mafuta uwa azichangamani mpango kwa umr wake kaona awezi kugombania tena ubenge kasoma alama za nyakati
 
Yeye alikuwa makamu wa Rais,,suala la Ubunge lilikuwa halituhusu
 
Nadhani issue ya Benjamin Mkapa Dodoma na issue ya Seoul Korea kaona bora apumzike siasa ili aishi maisha marefu, chamani rafu nyingi.
Je Tec naona wamefungwa goal la offside na Mkwere na VAR hamna.
 
Mkwere alitumika kuhalalisha idara iingie mzigoni Kwa kuhakikishiwa kwamba mtia Nia ndio huyo na game on!
 
Una uhakika gani kwamba Mpango alimua kuacha kugombea kwa hiyari yake?

Sema tu hii nchi viongozi hawana utaratibu wa kuandika vitabu vya maisha yao, Mengi sana yamefichwa
 
Mix by YAS , Mpango ni mtu mwenye kuona na Hana umasikini huo wa dhulumat
 
Nijuavyo,

2026 ni mwaka wa kuanza kutumika Katiba mpya na kupatikana Kwa Tume huru ya Uchaguzi.

Tusubiri
 
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone.
Alama zinaonyesha uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 na uwenda tukawa tuki sikiliza sana maneno yake watu wenye kuona kesho.
Kwa wajuvi wa kuunganisha dot dot! Tulishajuwa tayari kwanini katokewa siyo akili kubwa wala nini 🤔, rejeeni kauli iliyotolewa kwenye mahafari kule Bunju chuo cha "SHIJE" kuna "tuwa" siyo "iara" wako kwenye post "tinye" za kutoa maamuzi.
 
Makamu ni akili kubwa ndio maana ameamua kukaa kando.
Hakuna cha akili kubwa, yeye sio mwana siasa na kufika hapo amebebwa sana na Jiwe! Sasa Jiwe hayupo hakuna wakumbe ba kwani siasa za ccm ni chafu yeye haziwezi!! Waliisha muundia zengwe kuwa sio raia anatoka Burundi!!
Juu ya yote hayo kama mnakumbuka kuna wakati Alizushiwa kifo alipokwenda South Korea kwa matibabu!!
Afya yake ina mgogoro Ameona Afadhali ni bora apumzike.
 
Back
Top Bottom