Kwani Mpango katoa unabii gani?uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 n
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone.
Alama zinaonyesha uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 na uwenda tukawa tuki sikiliza sana maneno yake watu wenye kuona kesho.
🤣🤣🤣 ivi unajua siasa mpango ndyo mara ya kwanza kuwa mbunge na uzee wote na yy syo mwanasiasa enz ya jiwe akikubali anakuambia ugombee sasa bs mpaka ifikapo 2026 tutajua maji na mafuta uwa azichangamani mpango kwa umr wake kaona awezi kugombania tena ubenge kasoma alama za nyakatiMakamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone.
Alama zinaonyesha uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 na uwenda tukawa tuki sikiliza sana maneno yake watu wenye kuona kesho.
Yeye alikuwa makamu wa Rais,,suala la Ubunge lilikuwa halituhusu🤣🤣🤣 ivi unajua siasa mpango ndyo mara ya kwanza kuwa mbunge na uzee wote na yy syo mwanasiasa enz ya jiwe akikubali anakuambia ugombee sasa bs mpaka ifikapo 2026 tutajua maji na mafuta uwa azichangamani mpango kwa umr wake kaona awezi kugombania tena ubenge kasoma alama za nyakati
Mkwere alitumika kuhalalisha idara iingie mzigoni Kwa kuhakikishiwa kwamba mtia Nia ndio huyo na game on!Nadhani issue ya Benjamin Mkapa Dodoma na issue ya Seoul Korea kaona bora apumzike siasa ili aishi maisha marefu, chamani rafu nyingi.
Je Tec naona wamefungwa goal la offside na Mkwere na VAR hamna.
Wakifichua wataliwa vichwa!!!Una uhakika gani kwamba Mpango alimua kuacha kugombea kwa hiyari yake?
Sema tu hii nchi viongozi hawana utaratibu wa kuandika vitabu vya maisha yao, Mengi sana yamefichwa
Mix by YAS , Mpango ni mtu mwenye kuona na Hana umasikini huo wa dhulumatUna uhakika gani kwamba Mpango alimua kuacha kugombea kwa hiyari yake?
Sema tu hii nchi viongozi hawana utaratibu wa kuandika vitabu vya maisha yao, Mengi sana yamefichwa
Kwa wajuvi wa kuunganisha dot dot! Tulishajuwa tayari kwanini katokewa siyo akili kubwa wala nini 🤔, rejeeni kauli iliyotolewa kwenye mahafari kule Bunju chuo cha "SHIJE" kuna "tuwa" siyo "iara" wako kwenye post "tinye" za kutoa maamuzi.Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone.
Alama zinaonyesha uwenda utabiri na maneno yake tukaanza kuyaona kuanzia 2026 na uwenda tukawa tuki sikiliza sana maneno yake watu wenye kuona kesho.
Hakuna cha akili kubwa, yeye sio mwana siasa na kufika hapo amebebwa sana na Jiwe! Sasa Jiwe hayupo hakuna wakumbe ba kwani siasa za ccm ni chafu yeye haziwezi!! Waliisha muundia zengwe kuwa sio raia anatoka Burundi!!Makamu ni akili kubwa ndio maana ameamua kukaa kando.
Burundi moja Mwijaku Babalevo Dotto Magari, tunamsaka Steve Mengele tumrudishe Malawikuna "watu" siyo "raia" wako kwenye post "nyeti" za kutoa maamuzi