roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Watu wamekata tamaa,hakuna Tena kuhoji na kuibana serikali katika masuala ya msingi Tena!
Vijana wamemaliza vyuo tangu 2015, hakuna ajira !! Hata zile za walimu hasa wa Sanaa,vijana hatuhoji Tena Hilo!? Madaktari wamejaa mitaani ila hospital hawapo wa kutoshaa hatuhoji Hilo Tena!!
Tumekimbilia kwenye miujiza ya manabii,tunaamini IPO siku gafla tutakuwa matajiri!!
Vijana katika siasa ndio usiseme!! Tumeacha kuihoji serikali katika masuala ya msingi,hakuna kuuliza ajira vipi!? Mbona kitambo hatuajiriwi!?
Hata tuliosomea udaktari,ualimu tupo mitaani makumi Kwa maelfu!? Achilia mbali manesi na kada nyingine! Tumekoma kuhoji Sasa ni mwendo wa kusifia chama Ili tupate teuzi za ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa!! Achilia mbali U Das!?
Kila Mahali ni kuisifu serikali tuuu!?
Tasnia ya habari ndio usiseme, hawa wamepewa uhuru, sio lazima usome!! Kama unaweza kuchamba mtu basi wewe ni mtangazaji mzuri Sana, tafuta kituo Cha FM " Fanya Mzaha" omba kazi, sifia Sana Sana serikali utaula utaupata UDas au udc!?
Njooo Kwa wasanii!! Hawa wao watatumika katika kampeni hivyo wao ni kusifia tuu!! Mpaka Korea wanaenda siku hizi!! Sasa wamejiongeza wanataka bima za afya!! ,Kumbe mbwembwe zote za kutembea na magari ya kifahari na kukodi mnyumba za mamilion hawana bima za afya hata za 159,000?!/? Kweli inatisha ,ila wa ni kusifia tuuu!?
Walimu nao hawapo nyuma kabisa kabisa,wao wanaenda mbali zaidi!! Wanamchangia mpaka raisi achukue form!!
Njooo Kwa waumini,hawa wamekata tamaa kabisa kabisa,Sasa nimwendo wa kuamini katika miujiza!wamejaa katika viwanja kuombewa wapate utajiri! Ajabu kabisa hata Jerusalem Kwa akina yesu hili halipo!!.
Wanashughudia kupona ukimwi!! Wanashughudia kupata magari baada ya kuombewa!! Fikiria Nabii yeye akitaka gari anachangiwa ila muumini yeye ataombewa!! Hakika tukekata tamaa!!
Wamegeuzwa wateja wa manabii wanauziwa maji,chumvi ,vitambaa wanaambiwa vinaupako!!
CCM na manabii ndio kimbilio letu!!
Hongereni wakenya,nyie mmesoma na kuelimika!! Sisi huku Professor wa chuo kikuu anaita chuo kikuu jalala baada ya mwanasiasa kumpa nafasi!!
Nyie mmefika hatua mna iwajibisha serikali vilivyo!! Ujinga hamtaki.