Unabisha...??

Unabisha...??

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Kuwa upweke unaweza ua? So lonely ths wkend
 
Ndio nabisha kwamba upweke unaweza kuua ila sibishi kwamba unaweza ukakuu wewe.
Huna marafiki wakupe kampani??Huna hobbies zikuweke busy??Huna usingizi ulale???
 
uko mbali na sehemu ya kukuweka bize au umeme hakuna hapo ulipo? Nalog off
 
Ndio nabisha kwamba upweke unaweza kuua ila sibishi kwamba unaweza ukakuu wewe.
Huna marafiki wakupe kampani??Huna hobbies zikuweke busy??Huna usingizi ulale???

kweli jana vyote hvyo kwa ucku wa jana sikuwa navyo! Kidogo nikufe yani
 
ungenibip tusaidiane nadhani mi nilikuwa mpweke zaidi ila ile thread ya maswali na majibu ilinisaidia
 
Back
Top Bottom