Unachojua kuhusu Piki Piki ya Sanil

Unachojua kuhusu Piki Piki ya Sanil

Conrad84

Senior Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
104
Reaction score
43
Hbr wadau,

Naamini wako wadau wenye abc za haya mambo hapa, Kuna pikipiki moja za kichina naona ndo zimeingia zinaitwa SANIL nmeipenda sana nilitamani kujua bei zake, pili gharama za spea, tatu kama spea zake zina ingiliana na hizi pikipiki zingine za kichina kama FEKON na SANLG.

292d31d1aaf815c579e150765ab6a4cb.jpg
 
Back
Top Bottom