Unachokikwepa hakiachi kukufuata

Unachokikwepa hakiachi kukufuata

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk.

Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa lakini hakuna jipya maisha ni yaleyale tu. I mean unaweza kuwa umetoweka sehemu uliyokulia lkn ukajikuta bado zile element za kule uliko toka bado zipo. Yaweza kuwa uraibu, umaskini, uzinzi au hata mataumizi mabaya ya pesa.

Wengi hushindwa kucontrol na kubadilika kutokana na kujaribu kukwepa, lakini ambacho hawajui ni kuwa Unacho kikwepa hakiachi kukufuata

What you resist persists.
 
Back
Top Bottom