Unachopaswa kujua kuhusu Ushoga

daaah sijui nini kifanyike
 
aisee daah
 
Mkuu umeleza vzr sana kwa kukusaidia kupata jibu kwanini ushoga umekuwa ukipromotiwa kwa kiasi kikubwa kama ulivyoeleza
Kasome kitu kinachoitwa "global depopulation policy"
Pia tafuta kitabu ki achoitwa KILLING US SOFT cha kelvin Galilae
Tunapataje hvo vitabu hasa cha global icho
 
Ushoga kwa imani yangu mimi, ni haramu na sikubaliani nao, ni roho chafu ya shetani inayowavagaa watu. Tena imeenda mbali zaidi kwa kutumia watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii.
 
Suala la ushoga ni la kihistoria halijaanza leo wala jana tangu enzi hivo lipo na watu wa jinsia hii wanaongezeka duniani kuna nchi zilikuwa kali juu ya masuala ya mahusiano ya jinsia moja Ila baadaye waliamua kuruhusu hata baadhi ya imani zimebadilika na kukubali suala hili hivo sioni sababu mtu ukaumiza kichwa kuwachukia au kuwanyanyapaa hawa Binadamu wenzako ni mapenzi kama mapenzi mengine sio shida kabisa ni kama vile wewe unavitu unavipenda Ila wanadamu wengine hawapendi Ila labda ni mila yenu au imani yako hivo tuvumiliane
 
Duuu aisee
 
kufikia kwamba ushoga umekuwa swala la "household debate" hilo ni tatizo kubwa zaidi. Nilipokuwa nakua hili swala lilikuwa halizungumziki kabisa kabisa kabisa.

Ila hapa tulipofika naona linaongelewa katika kila jukwaa iwe kwenye mambo ya kidini, kisiasa, kijamii na hata burudani.

Hii yote ina athari kubwa sana kwa watoto wanaokua maana linakuwa ni jambo wanazoea kulisikia na kuchukulia poa tu. Maana jambo liwe linatangazwa kwa ubaya au kwa wema bado athari inabaki kuwa linapata "airtime"
 
hataree sana..yan kuna jamaa ana familia na mke fresh kabisaaa..siku moja mke akasafir jamaa akaja room kulala..mana nlikuwa nna muvi nying kali...du usiku nimelala nashangaa jamaa anaanza kupapasa dushe lang..mara ghafla jamaa akashika mashine yang na kuanza kuinyonya..nkajifanya kama sion nione jamaa anataka kufanya nini..du jamaa akawa ananyonya mashine kabisaa...du ikabd nishtuke mana si jambo la kawaida...namuuliza jamaa kwanini anafanya vile anasema basi tu huwa anapenda kunyonya uume wa mwanaume mwenzie..du..kiukweli nliona dunia sasa iko uchi.
 
dah jamaa upo vzuri nmewlewa sana kwenye mbinu wanazo2mia hawa washenz kueneza ushoga, kwa kweli ni hatari sana 2muombe mungu tu aya mambo ya2pitie mbali kabisa
 
duu ni hatari kubwa mno ata ww unaongea utumbo huuu kweli 2mefika pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…