Unachukuliaje kitendo cha Mess kukanyaga jezi ya Barcelona?

Skull dance

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2021
Posts
476
Reaction score
953
Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami

Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona iliyorushwa na Shabiki wa Atlanta united kabla ya mchezo huo kuanza.

Baadhi ya vyombo vya soka vimeripoti kuwa Messi aliikanyaga Jezi hiyo bila kukusudia yani kwa bahati mbaya kwasababu ilirushwa kutokea jukwaa la juu kwaio yeye hakuiona ....

Lakini mashabiki wengi vipenzi wa Barcelona wakahoji ya kuwa kama Messi aliikanyaga hiyo jezi kwa bahati mbaya picha zinaonesha baada ya kuikanyaga aliigeukia hiyo jezi na kuiona,

Sasa kwa nini asiiokote na Kuonesha kitendo kwa Kiungwana na Upendo kwa club Hiyo kama iliomkuza katika safari yake ya soka?

Yapi maoni yako juu ya hili ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ
 

Attachments

  • FB_IMG_17422033009861231.jpg
    224.3 KB · Views: 29
Yeye anachezea timu nyingine kwanini wamtupie jezi ya timu nyingine.Akina shavi wanakula mashavu yeye walimtema.
 
Shida iko wapi?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Barcelona imemkuza Messi au Messi ndo kaikuza Barcelona au wamekuzana yeye na Barcelona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ