tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kama ccm watataka katiba mpya! H. Polepole atakuws na mchango wa asilimia 70!Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya kuandaliwa kwa katiba mpya.
Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake uliofanyika Agosti 28, 2025 kwenye viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam, Samia amesema “tukiongozwa na faslafa ya 4R tutaendeleza mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia na sekta binafsi kwa kuunda tume ya kuanzisha mazungumzo ya maridhiano na upatanishi ili kuandaa mazingira ya kuanza mchakato wa Katiba Mpya”
Soma pia: Je, Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni za uchaguzi Zina Adhabu Kisheria?
View attachment 3457265
Ikumbukwe pindi tu alipoapishwa kuwa Rais mwaka 2021, moja ya mambo aliyoyafanya Rais Samia ni kuunda tume ya maridhiano ambayo ilikusanya maoni ya wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini na asasi zingine za kiraia na miongoni mwa mambo yaliyofanyika ni kuruhusu shughuli za kisiasa kuendelea.
Hata hivyo pamoja na maoni aliyofanyia kazi alisema katiba mpya ataifanyia kazi kuanzia mwaka 2026.
Kuunda Unda Tume ni ufujaji wa pesa zetu tu. Hayo maridhiano yanayofanyika leo , kesho hayapo yanafaida gani? Maridhiano yalitakiwa kabla ya Uchaguzi. Huwezi kutumia hoja hiyo kutafuta kura.Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya kuandaliwa kwa katiba mpya.