Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani.
Mwaka huu 2025 dhima nafasi ya Akili Mnemba na Elimu katika kudumisha Maendeleo katika Dunia ya Kidigitali. Lengo likiwa ni kuunganisha Elimu na kasi ya teknolojia pamoja na kuhakikisha Akili Mnemba inaongeza ubunifu na kuboresha sekta ya Elimu Duniani