Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Akili mnemba ni mbadala wa uhaba wa walimu akili mnemba ikitumiwa ipaswavyo inaweza kufundisha mara kumi vizuri zaidi kuliko walimu phisical."Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani.
Mwaka huu 2025 dhima nafasi ya Akili Mnemba na Elimu katika kudumisha Maendeleo katika Dunia ya Kidigitali. Lengo likiwa ni kuunganisha Elimu na kasi ya teknolojia pamoja na kuhakikisha Akili Mnemba inaongeza ubunifu na kuboresha sekta ya Elimu Duniani
Tutaamini vipi kama hio akili mnemba inakusaidia kama imeshindwa kukusaidia kuandika vizur neno physical tu na wondersAkili mnemba ni mbadala wa uhaba wa walimu akili mnemba ikitumiwa ipaswavyo inaweza kufundisha mara kumi vizuri zaidi kuliko walimu phisical.
Actually mimi naitumia kama assistant wangu kwenye majukumu yangu na inafanya wanders hatari kuliko ningekuwa na assistant phisica
Kwa kufundisha masomo mengi na kwa ufasaha, hata bila ya kuwa na walimu"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka ikiangazia maendeleo na umuhimu wa Elimu katika kuleta maendeleo, usawa na amani.
Mwaka huu 2025 dhima nafasi ya Akili Mnemba na Elimu katika kudumisha Maendeleo katika Dunia ya Kidigitali. Lengo likiwa ni kuunganisha Elimu na kasi ya teknolojia pamoja na kuhakikisha Akili Mnemba inaongeza ubunifu na kuboresha sekta ya Elimu Duniani
Duniani ,hawajasema Tanzania 😆😆Mwaka huu 2025 dhima nafasi ya Akili Mnemba na Elimu katika kudumisha Maendeleo katika Dunia ya Kidigitali. Lengo likiwa ni kuunganisha Elimu na kasi ya teknolojia pamoja na kuhakikisha Akili Mnemba inaongeza ubunifu na kuboresha sekta ya Elimu Duniani