johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ngoja tuoneSiasa za marekani siyo za bongo. Huku ukijaribu even in a church utakoma
Huyu Musk, sijui jeuri zake zinasababishwa na jeuri ya pesa, lakini akumbuke Trump si mchezo, anaweza akamjengea zengwe mpaka akafirisiwa na kuwa deported kutoka Amerika na kwenda South Africa within-24 hours, Musk ana kiburi sana ndio maana huwa haelewani na Baba yake mzazi, sijui na madawa ya kulevya yanachangia katika hulka zake?? Awe makini sana na Trump.Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa?
Nawatakia Sabato njema 🇹🇿🇮🇱🙏
===
Elon Musk has started multiple successful companies that have accomplished incredible technological feats. His latest ambition may be significantly more difficult to achieve: starting a new American political party for the masses.
Citing his disappointment in President Donald Trump and his massively expensive domestic policy bill, Musk said he would form the “America party” the day after the “Big, Beautiful Bill” passes, if Congress approves it. Musk has called Democrats and Republicans the “uniparty” because government deficits have risen dramatically under administrations and Congresses controlled by both parties. He says he wants to build a fiscally conservative party that reins in spending – although he’s presented few other details of what the party’s platform might be.
Experts in campaign finance and political science say there’s a reason no third party has ever truly successfully challenged America’s two-party system: It is financially and legally difficult to create a new party, and voters and candidates are hesitant to join.
Source: CNN
Labda anataka kugombea utrumpElon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa?
Marekani siyo Bongo kua rais anaweza kuamua ufanywe chochote, kama ingekua rahisi hivyo basi huyo Trump mwenyewe asingekua rais na hiyo mizengwe aliyopitiaHuyu Musk, sijui jeuri zake zinasababishwa na jeuri ya pesa, lakini akumbuke Trump si mchezo, anaweza akamjengea zengwe mpaka akafirisiwa na kuwa deported kutoka Amerika na kwenda South Africa within-24 hours, Musk ana kiburi sana ndio maana huwa haelewani na Baba yake mzazi, sijui na madawa ya kulevya yanachangia katika hulka zake?? Awe makini sana na Trump.
Juzi hapa Trump alihojiwa na media za nchini mwake, kwamba,je, mambo haya ya kubishana na Musk anaweza kumpiga PR kwa kumuondoa unceremoniously Musk hasionekane Nchini Merikani na kutaifisha mali zake zote anazo miliki huko Merikani nyingi alizipata kutokana na ruzuku alizo pewa na Serikali ya Merikani - Trump alijibu kwamba anaweza kufanya hivyo kwa kumwambia atoke nchini Merikani na arudi kwao Africa Kusini,Trump alikuwa amekasirika kweli kweli!! Sasa Musk akitaka kutuniana misuri na Trump atapoteza kila kitu, Trump si mchezo.Marekani siyo Bongo kua rais anaweza kuamua ufanywe chochote, kama ingekua rahisi hivyo basi huyo Trump mwenyewe asingekua rais na hiyo mizengwe aliyopitia
Zamani nilijua hivyo ila trump ni raisi mwenye nguvu sana tumeshuhudia alivyofuta mashirika mengiMarekani siyo Bongo kua rais anaweza kuamua ufanywe chochote, kama ingekua rahisi hivyo basi huyo Trump mwenyewe asingekua rais na hiyo mizengwe aliyopitia
Alionjeshwa asali ya kisiasa sasa anahitaji kuchonga mzinga,kama vile ccm sasa wanataka watafune na mizinga kabisa kwa kadiri walivyonogewa,wakimaliza mizinga bila shaka watajaribu kutafuna na nyuki wenyewe kabisa.Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa?
Nawatakia Sabato njema 🇹🇿🇮🇱🙏
===
Elon Musk has started multiple successful companies that have accomplished incredible technological feats. His latest ambition may be significantly more difficult to achieve: starting a new American political party for the masses.
Citing his disappointment in President Donald Trump and his massively expensive domestic policy bill, Musk said he would form the “America party” the day after the “Big, Beautiful Bill” passes, if Congress approves it. Musk has called Democrats and Republicans the “uniparty” because government deficits have risen dramatically under administrations and Congresses controlled by both parties. He says he wants to build a fiscally conservative party that reins in spending – although he’s presented few other details of what the party’s platform might be.
Experts in campaign finance and political science say there’s a reason no third party has ever truly successfully challenged America’s two-party system: It is financially and legally difficult to create a new party, and voters and candidates are hesitant to join.
Source: CNN
Trump hana jeuri hiyo huyo ni raia.Huyu Musk, sijui jeuri zake zinasababishwa na jeuri ya pesa, lakini akumbuke Trump si mchezo, anaweza akamjengea zengwe mpaka akafirisiwa na kuwa deported kutoka Amerika na kwenda South Africa within-24 hours, Musk ana kiburi sana ndio maana huwa haelewani na Baba yake mzazi, sijui na madawa ya kulevya yanachangia katika hulka zake?? Awe makini sana na Trump.